Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti..!
Miaka ya:1986-1990.Ukimtongoza binti,alikuwa akijibu "nimekubali ila usimwambie mtu..!
miaka ya :1991-1995.walikuwa wakijibu "nimekubali lakini namwogopa Baba na mama atakuwa..!
Miaka ya :1996-2000.walikuwa wakijibu "nimekubali lakini sitaki kufanya mapenzi mpaka unioe..!"
miaka ya :2001-2005.walikuwa wakijibu "nimekubali lakini tutumie condom..!
Miaka ya :2006-2010.walikua wakijibu"pesa yako 2,maneno sitaki..!
balaa liko hapa..!
mwaka:2011-2015. wanajibu "nimekubali lakini haupo peke yako..!
Je, kipi kipindi kizuri kati ya Ivi??