Chezea ndoa wewe..!

Mchepuko. Baby unanipenda?

Mshikaji:
Wewe ndiyo kila kitu kwangu. Na wewe je unanipenda?

Mchepuko: yaani kwako siambiwi kitu, mahaba niue nakupenda mpaka naumwa.

Mshikaji: Thanks my Onyienye.

Mchepuko:
Baby nikuombe kitu.?

Mshikaji:
Omba chochote bby kwa ajili yako nitafanya...

Mchepuko:
Promise Baby.!

Mshikaji:
I promise darling.

Mchepuko:
Naomba leo uniweke kwenye profile whatsup.

Mshikaji:
Hilo tu mbona dogo sana nakuweka sweetheart. Ila je, na mimi nikikuomba kitu utakubali ?????

Mchepuko:
Thanks love ndiyo maana nakupenda. wewe tena omba honey hata ukitaka mapacha ntakuzalia.

Mshikaji:
Naomba nkiweka picha yako status niandike R.I.P??.

Mchepuko: Mwanaharamu wewe weka picha ya mamako ndo uandike huo ushuzi wako kafiri wewe mwana izaya usiye na haya.. mfyuuuuu??????