Baada ya uchaguzi mgombea aliyeshindwa kwa kura alikutwa akilalamika kuwa wamemwibia kura.Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo;
Mgombea:Huu uchaguzi wamenionea,wameniibia kura?
Mwananchi:Kwa nini unasema wamekuibia kura??
Mgombea:Ni kwa sababu watu wanaonipa pole ya kushindwa ni wengi kuliko walionipa kura.

Mwananchi;Akakimbia mazungumzo.