Mazungumzo ya mtoto na baba ake.
Baba;Mwanangu mbona unalia?
Mtoto;Nguo za sikukuu ulizoninunuliz kubwa sana kwangu
Baba;Ndio nzuri utakwa nazo
Mtoto;Basi baba ninunulie na mimi gari
Baba;Gari la nini wewe bado mtoto sana

Mtoto;Si nitakuwa nalo kama nguo ulizoninunulia.