Polisi watatu walienda nyumbani kwa mvuta bangi,wakakuta amefunga mlango na mwzungumzo yao yalikuwa iv;
Polisi;hodii humu ndani
Mvuta bangi;nani??
Polisi;Sisi polisi
Mvuta bangi;Mnasemaje usiku huu?
Polisi;Tunataka kuongea na wewe
Mvuta bangi;kuongea na mim?kwani mko wangapi?
Polisi;ndio,tuko watatu
Mvuta bangi;Kama mko watatu basi ongeeni nyie wenyewe nilizani uko peke ako nije tupige stori,mimi saizi nalala......usiku mwema

No comments:

Post a Comment