Mtoto:Mama iv malaika huwa anapaa??
Mama;Ndio mwanangu,kwa nini umeniuliza ivo??
Mtoto;Baba huwa anamwita dada wa kazi malaika wangu,kwa hiyo nae anauwezo wa kupaa??
Mama;Ndio anauwezo huo,na leo ndo ataanza rasmi kupaa kuelekea kijijini kwao.