madem wa siku hizi


Unapewa number na dem alaf
anakuambia uwe unampigia saa 6 pekee,
unashindwa kuelewa na unajiuliza ni kwanini? kidogo kidogo
ukichunguza na unagundua amekusave

"alarm".......