Jamaa mmoja kakodi taxi akiwa anatembea katika jiji mara
akapita kipenda cha gest
Moja akamuona mkewe akiingia ndani ya gest.
Jamaa akamwambia dereva simama, jee..? Unataka laki tatu za
chap chap..?
Dereva akajibu ndio, Jamaa akamwambia nenda mle gest kamtoe
mke wangu picha yake hii hapa
Tena uwe unampiga, mateke, vichwa, makofi mpaka ufike nae
hapa
Dereva akaingia gest ile kutoka anakuja na mwanamke
mwingine na kichapo kinaendelea.
Jamaa
Kaduwaa na kusema we vipi mbona huyu sio yeye..?
Dereva akajibu huyu mke wangu, Subiri nitakwenda kumtoa na
wa kwako pia...!
`
No comments:
Post a Comment