Jamaa mmoja kakodi taxi akiwa anatembea katika jiji mara akapita kipenda cha gest
Moja akamuona mkewe akiingia ndani ya gest.

Jamaa akamwambia dereva simama, jee..? Unataka laki tatu za chap chap..?

Dereva akajibu ndio, Jamaa akamwambia nenda mle gest kamtoe mke wangu picha yake hii hapa
Tena uwe unampiga, mateke, vichwa, makofi mpaka ufike nae hapa

Dereva akaingia gest ile kutoka anakuja na mwanamke mwingine na kichapo kinaendelea.

Jamaa
Kaduwaa na kusema we vipi mbona huyu sio yeye..?

Dereva akajibu huyu mke wangu, Subiri nitakwenda kumtoa na wa kwako pia...!
`

No comments:

Post a Comment