Habari ya saizi wananchi
wenzangu.Mimi ni mwanaume nina miaka 27 ni mkazi wa arusha,mnamo mwaka 2011
nilikutana na msichana (Ambaye ndio mchumba wangu),ilipofika mwaka 2013
tukabahatika kupata mtoto wa kiume.Sasa wazazi wa mwanamke hawataki mimi niishi
na mtoto wao kwa sababu ya tofauti zetu za kidini,na mchumba wangu yeye anasema
yuko tayari hata kubadili dini kwa ajiri yangu tatizo ni wazazi wake,na inafika
mahali ndgu zake wananiombea mabaya ilimradi niachane na mtoto wao,sasa
nimekuja kwenye ukurasa huu wa ushauri wako kuomba msaada wa mawazo mana
imeshakuwa tatizo.