Swala la ajira katika nchi yetu limekuwa tatizo kubwa sana linalopelekea vijana wengi kuwa tegemezi kwa jamii yao,vijana wanaohitimu masomo yao katika ngazi mbalimbali hukosa ajira na kushindwa kuwa wajasiliamali kwa kukosa mtaji,je nini kifanyike ili kuweza kulitatua tatizo hili katika nchi yetu???