nimekutana na dogo njiani analia nikamuuliza kwa nini analia akaniambia amepewa na mama yake mia tano mbili, moja anunue maziwa nyingine anunue karanga.Sasa amesahau mia tano gani atumie ununua karanga na ipi anunulie maziwa.