mjini chuo



Jamaa mmoja alikosea
kutuma M-pesa Tshs
500,000/ =zikaenda
namba nyingine
alipogundua kakosea
namba akatuma meseji
ifuatayo kwenye namba
iyo"UMETEULIWA KUINGIA
KATIKA CHAMA CHETU CHA
FREEMASON NA
TUMESHAKUTUMIA PESA
KWENYE CM YAKO BAADA
YA DAKIKA 15 ATAKUFA
MWANAO UMPENDAE KAA
NJIA PANDA GARI YETU
NYEUSI ITAKUFUATA UJE
UNYWE DAMU YA
MWANAO KAMA
UTASHINDWA MASHARTI
RUDISHA PESA YETU
HARAKA SANA KABLA YA
MAAFA."

Baada ya dakika
1 tu jamaa akarudisha
hela kwa kushindwa
mashart