Hapa kazi ipo

Familia moja ilikubaliana kuweka ratiba ya kila mwanafamilia kuchagua chakula cha kupika siku
SIKU YA KWANZA
baba- leo tule wali samaki,ukapikwa wali samaki
SIKU YA PILI
mama- leo tule mtori nyama, ukapikwa mtori nyama
SIKU YA TATU
mtoto (miaka 3) - tule ubuyu....baba na mama wakabaki wanatazaman usoni